Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi nimebeti France Under 3.5, hahaha Daah! Hapa nina sali kweeli kweeli.
 
Kuna option nyingine raha sana unaanza kufurahi hata kabla ya mechi kuisha.

Mimi ndio mwanzilishi wa Y na 2+ sasa nashangaa Leo eti nimebet 1 japokuwa nimeweka kilo moja tu

Mm nimejifunza juzi nilipojilipua timu 2 alaf Uruguay akazingua.Ukiweka mpunga mwingi ni bora ucheze magoli au Both team to score. Hapa nasubiri mkeka wa pili wa Chile tu
 
89' France | 2 - 1 | Romania
57' | 1 - 0 | Olivier Giroud
65' | 1 - 1 | Bogdan Stancu (pen.)
89' | 2 - 1 | Dimitri Payet

by thelivescoreapp.com
 
Mkeka wa kwanza nilicheza 1Y na wa pili over 2.5 naona yote inapumua.Ngoja nikazane kuzibinya kwa Sanchez na Tall watende miujiza yao ya over 3.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…