Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu ustadhi aliyejifanya mtabiri kajiona mkubwa wa kaz kwa kufeli mech moja tu.. Wakati sye tuliozoea kucheza mikeka mingi tuliyopoteza iliharibika mechi moja tu
 
Huyu ustadhi aliyejifanya mtabiri kajiona mkubwa wa kaz kwa kufeli mech moja tu.. Wakati sye tuliozoea kucheza mikeka mingi tuliyopoteza iliharibika mechi moja tu

hatarii sana hahahaaa, we mtabiri appoh njoo ututabirie na leo..
 
Last edited by a moderator:
Mikeka yangu ya muhindi ya leo mpk kesho
 
Attachments

  • 1409393351755.jpg
    57.1 KB · Views: 89
  • 1409393370426.jpg
    62.4 KB · Views: 75
Inauma sana watu wameshinda halafu man u uliyemtegemea ashinde cap anakukosesha 35000 tena kapigwa yeye cap 3 bila😕😡
 
Liwalo na liwe, kwa mara ya mwisho naweka tena Man Utd
 
Attachments

  • 1409399864958.jpg
    66 KB · Views: 112
Huyu ustadhi aliyejifanya mtabiri kajiona mkubwa wa kaz kwa kufeli mech moja tu.. Wakati sye tuliozoea kucheza mikeka mingi tuliyopoteza iliharibika mechi moja tu

hajui watu tunaweka game 10 halafu 1 tu inazingua tena game yenyewe inakua imekataa cap
 
Haskovo, Atletico , Seatte , Bayer lever , Hamburg sv , Athletic Club, Rangers , Simalamae Kalev...Mtanipa matokeo
 
wolfsburg...both teams to score
bayern win and 1.5 goals total
leverkusen win
athletico madrid win
bilbao win
man city win & 1.5 goala total

crossing my fingers....
 
Man City nae kaharibu mambo.
Mikeka yangu mingi ilikuwa na Newcastle sasa amepigwa hii inamaanisha leo nimepoteza hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…