Niko kwenye upembuzi wa timu nione ntaongeza shingapi hapo ili nijilipue.Jana nilimwamini Brazili sana nikajlpua 2+ na Germany 2+ .Hahahaha ... hatarii sn. Sasa unainukaje kutoka hapo? teh teh teh
hatukomi mkuu....one day YES!Kanji mpka namuogopa duuuuuu
brazil ni JIPU!Bazili daaaah mamaeee
mkuu ireland nao sio wa kubeza.Spain - win
Sweden - win
Belgium - Anyteam win
Zwaziland - Anyteam win
odds, 6
KENO ni kitu gani mkuu? nambie nami nihamie huko maana nimeishapigwa sana huku nilipo.Mimi now nacheza KENO tu...hii mipira stress tu timu zinatoa matokeo ya kifala sana. Bora keno inanipunguzia machozi
Maa..maae zaohawa meridian leo qumer kweli....mimi nina hasira za kuliwa na BRAZIL halafu nao wanakuja kuniletea uxenge wao!
View attachment 356195
hawa meridian leo qumer kweli....mimi nina hasira za kuliwa na BRAZIL halafu nao wanakuja kuniletea uxenge wao!
View attachment 356195
mkuu, ndio maana kumbe haya mambo huwa hayahitaji HASIRA!Maa..maae zao View attachment 356197
Nikiiangaliaga avatar ya tpaul huwa nafurahi sana.
possible!Spain vs czech
tip 11>
Odds 2.05
Spain vs czech h2+Juzi nimemkamua Kanji balaa. Nikatoa hela zote nikabakiza 50k ambayo kaila yote jana. Sasa leo natafuta timu nijiwashe tena moja tu ya uhakika
ngoja tumjaribu tena!Kanji mpka namuogopa duuuuuu