Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuomba hela ya kubet Tena kwa watu ambao huwajui ni ujinga.
Yaani unaomba hela unaenda kumpa bilionea Kanji.
Sio lazima kubet,usipobet huwezi kufa.
Kipato kidogo upatacho wekeza kwenye vitu vingine kama kula sio kumpa muhindi.
True akiendekeza u matonya ndo upinde huanza taratibu
 
True akiendekeza u matonya ndo upinde huanza taratibu
Kuna wengine huwa wanatuma PM kabisa kuomba hela ya kubeti.
binafsi huwa sijibu kwa sababu mimi mwenyewe nikipigwa sana huwa napumzika hata wiki au nisipokuwa na bajeti ya kubeti huwa silazimishi kwa kukopa.
sasa wengine washajiwekea utaratibu kuwa ni lazima abeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…