samarianboy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 299
- 395
kwny mikeka ubongo wangu ushakwama, nasubir code zote za betpawa kesho ni kucopy na kupaste tu
Haina noma mkuu kesho tutashusha vitukwny mikeka ubongo wangu ushakwama, nasubir code zote za betpawa kesho ni kucopy na kupaste tu
KachomoaHuyo fala sjawai kumbetia maana namjua yeye ni mzee wa kuchoma mikeka tu
Huyo na slavia praha walinikosesha mamilion mengi
Matapeli wanajenga brand kwa njia hizikusema uwongo kwamba umekula wakati hujala haikuongezei chochote kwenye platform kama hizi
Hizi lig nisizo zijua nazi pitaga kushotoKuna bata wa Cyprus wanataka kuhara hapa
Nimecheka ******* ila mwamba ujengewe sanamu kuna tren lako nilikuwa laki mbili siwez kukusahau....Haina noma mkuu kesho tutashusha vitu
Wengine tuna quire 4 tumenunua kwa ajili ya kuzichambua timu ni vile tu kanj nae ana uchawi wake.
Pamoja mkuu[emoji123]Nimecheka ******* ila mwamba ujengewe sanamu kuna tren lako nilikuwa laki mbili siwez kukusahau....
Kule twitter ndo wapo wengi wenye pigo za hiviKuna wengine huwa wanatuma PM kabisa kuomba hela ya kubeti.
binafsi huwa sijibu kwa sababu mimi mwenyewe nikipigwa sana huwa napumzika hata wiki au nisipokuwa na bajeti ya kubeti huwa silazimishi kwa kukopa.
sasa wengine washajiwekea utaratibu kuwa ni lazima abeti.
[emoji23][emoji23][emoji1787]Haina noma mkuu kesho tutashusha vitu
Wengine tuna quire 4 tumenunua kwa ajili ya kuzichambua timu ni vile tu kanj nae ana uchawi wake.
Hatuogopi oddsAisee msiidharau Bayern Munich kiasi hiko..
City anaweza akafa leo mkashangazwa
Tuikatae hiyo tabia si nzuriKuna wengine huwa wanatuma PM kabisa kuomba hela ya kubeti.