The king9999
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 382
- 939
kuna code mbili ilikua inakuja zaidi ya 40k kwa buku , timu moja ndio ikachanaKaka na mm nilifata zile code zote ila mm niliweka buku buku, ila sio mbaya mtaji umesharudi, mie naona ni market nzuri, safari ijayo uweke timu tano nadhani tutakula mikeka mingi zaidi, km iliochanika ni timu moja ndio inachana,
Kani nyima bookings hawaja toa yellow card hata moja while me nime wapa wote over 2.5Mbona alishinda?
[emoji23][emoji23]Lakini kumbuka kuna Mwenzio aliweka bookings Under 2.5, tunamchanganya Mola,[emoji847]Kani nyima bookings hawaja toa yellow card hata moja while me nime wapa wote over 2.5
Kampuni gani Chief!CE6B1BD hili treni refu kama mkojo. Lina fika kesho nyegezi
Nimepita nayo!31187A8
Betpawa
PawaKampuni gani Chief!
Kweli sir GOD aendelee kujificha tu kwakweli maana cyo kwa kuchanganywa huku[emoji23][emoji23]Lakini kumbuka kuna Mwenzio aliweka bookings Under 2.5, tunamchanganya Mola,[emoji847]
Hiyo game ya Simba itachana mkeka Boss, direct win kwa Wydad ni hatari sana. Magoli ni option nzuri zaidi.3689415
bet pawa
NAKAZIA.Hivi mnaohangaika na hao mawakala huko xbet huwa Kuna fixed matches au nanyi mnapigwa tu kama huku betpawa na sporty bet?
Yanini kuhangaika kupitisha hela kwa mtu mwingine wakati Kuna kudeposit moja kwa moja.
Mpigwe tu
Wakamalia tusiishi kinyonge code hii hapa ss tunataka bonas tu au sio.
Twende kazi.
Code:F750EF4.[emoji123][emoji123][emoji483][emoji898]
Mi napiga live bets tuKaka naomba itume tule wote idd
Kushinda milioni 2 afu serikali ichukue 200000 ni taabu sanaHivi mnaohangaika na hao mawakala huko xbet huwa Kuna fixed matches au nanyi mnapigwa tu kama huku betpawa na sporty bet?
Yanini kuhangaika kupitisha hela kwa mtu mwingine wakati Kuna kudeposit moja kwa moja.
Mpigwe tu