Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jana nimemkosa kosa Kanji , niliandaa matreni mawili, mechi 40 kila moja.
dau likaja mill 8 na lingine mill 10.
moja nimekosa mechi 4 na lingine mechi 6.

sio mbaya.. soon ntapatia mechi zote,..

Treni la odds mia hili hapa 1072974.
Hapo hujamkosa kosa hapo umepigwaa.
Kumkosa ni kukosa mechi 1 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…