Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,611
AahahaaaaSijaibetia
Nipo na Royal Antwerp...nimeeka over 1.5 🤣
Basi me naomba CODE leo nifute machozi kidogoWatu tunaoishi ughaibuni 1XBET ni nzuri sana kwetu coz ina option nyingi sana huko bongo mnabinywa sana kwenye options kiasi ambacho kupata faida inakuwa ngumu sana zaidi ni kupigwa vipigo vizito vizito yaani ukila mkeka mmoja unakuja kupigwa vipigo kumi mfululizo na huna pa kutokea...
Ndo akome ubishiMote anaopelekewa Spurs ukiendelea hivu 12 zitamuuxu
Inaitwa mama mkanye mwanaoToty kapigwa 5 dak 20[emoji23]
hio game ina gg mkuu.......Wakuu spurs ata pata gori moja kweli [emoji24]
nilimnyang'anya newcastle goli 1,Newcastle muonee huruma mwenzio magoli yote hayo
hapo wasiwasi ni lorient, hao wengine kuna ggKwa vipigo dhidi ya spurs jmn naombeni ushauri nichukue changu au nikaze? View attachment 2597174
Yamezubaa uwanjani utadhani makuku yamenyeshewa mvua.. yamepanuliwa mattercall halafu yakatemewa kohoziKama ulimpa tukaze moyo tu
westham usimwamini, hao bou currently ni wazuri kufanya comeback, ni kama cardif kule championshipWest ham nyu kesto zilikua odds za bure obs dah