ligi yao ndio imeisha leo?Rangers leo alikuwa hana cha kupoteza yy ni nafasi ya pili kaachwa mbali na nafas ya kwanza pia wa tatu hawezi mfikia, kwa Hyo anajiandaa na cup na hiyo ilikuwa gemu ya mwsho ya ligi
Picha la kutishaView attachment 2597368
Kasheshe, naiweka sura yangu wapi.
AahaaaaaaMarumo galant alikuwa na odds 13 wakati pyramids wana 1.22, dk ya 85 sasa marumo wako mbele kwa gol 1 bila, wazee tusiogope odds.
mkuu gallants away huwa wanapigwa kama ngoma, hao ni newcomer kwenye mashindano ya caf,.....Marumo galant alikuwa na odds 13 wakati pyramids wana 1.22, dk ya 85 sasa marumo wako mbele kwa gol 1 bila, wazee tusiogope odds.
Away Huwa wanapigika ila home Huwa ni WA motooomkuu gallants away huwa wanapigwa kama ngoma, hao ni newcomer kwenye mashindano ya caf,.....
mechi zao walizocheza na waarabu kwenye makundi walikua wanagongwa 4-1..... sijui pyramids wana shida gani aisee,
Wakuu nipo njiani toka kibanda umiza naelekea home ila nina kizunguzungu kinoma. Mbele naona mwanga mwanga tu. Niombeeni nifike nyumbani salama wakuu. Stress za man utd zinanipelekesha.Dah sijui wengine tuna mikosi gani ase. Yani man utd kagoma kabisa kutoa over 0.5 na zilibaki mechi nne tu kati ya 60 (borussia Ov 0.5, sevilla Ov 0.5 na lyon Ov 1.5). Safari yangu ya wiki mbili imeisha leo saa 2 usiku. Goodbye my could be mine 935k Tshs.
NB: Treni za over 0.5 + 1.5 zitatutoa toka kwenye trenches wakuu kabla msimu haujaisha.
Ila inauma sana wakuu hata cashout imegoma ase 😥
AmeshachomolewaMarumo galant alikuwa na odds 13 wakati pyramids wana 1.22, dk ya 85 sasa marumo wako mbele kwa gol 1 bila, wazee tusiogope odds.
Mimi Huwa sichaniwi hovyo mikeka kama unavyodhani... 👇JITU BANDIA stress za kuchaniwa mikeka usiniletee mimi
Hongera mkuuMimi Huwa sichaniwi hovyo mikeka kama unavyodhani... 👇
Usiogope odds
UKIAMUA KUZIFUATA BASI ZIFUATE ZOTE , USIRUKE CODE15B7C94
AB865F3
66B0085
91D0F8
CFCCBE7
58C526
E81494A
EA8058
ECFD5DC2
EBC1EAB
F52CF03
59D86F1
6834B21
F721BE1
E0A4B63
NB: GAME ZA USIKU TUU ZINAANZA SAA TATU NA NUSU ..
SPORTYBET , DRAW OR OVER 2.5
STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE..
LETS WAKE UP TOMMOROW WITH BOOM