kubabeki...mi sa hivi nimeweka hakuta kua na red card kwny gem za
celta vigo
bilbao
A. Madrid....niweka kama 27000 nasubiri 66000...Mungu nsaidie
Daah mkuu mie nimeumia sana japo niliweka 1000 tu ila huyu NewCastle kanikosesha maana alibakia yeye, swansea,qpr,southmpton, sasa hao wote wameshinda isipokuwa yeye tu. Yaani imeniuma sana
Daah mkuu mie nimeumia sana japo niliweka 1000 tu ila huyu NewCastle kanikosesha maana alibakia yeye, swansea,qpr,southmpton, sasa hao wote wameshinda isipokuwa yeye tu. Yaani imeniuma sana
hahaha andybird314 umenichekesha sana leo, ebu muone na huyu ng'ombe anaitwa Man city alichonifanyia USD 318
Pole sna mkuu, kwan hzo market zilikuaje mpk buku ilete 5 mil?? Na ni kampun gan
kubabeki...mi sa hivi nimeweka hakuta kua na red card kwny gem za
celta vigo
bilbao
A. Madrid....niweka kama 27000 nasubiri 66000...Mungu nsaidie
Mkuu mie leo nilienda meridian vibandani nikachagua timu nikaweka na kina qpr,newcastle,chelsea,swansea,southmpton,man u nikaweka under 1.5 na timu zingine kibao odds zikafika 9500 nikaweka 1000 ikaja 5 mil. Bahati nzuri timu zote zikakubali except huyo mshenzi Newcastle.
Qpr,southampton,chelsea,swansea walikuwa ma odds kubwa kubwa 2+
hahaha andybird314 umenichekesha sana leo, ebu muone na huyu ng'ombe anaitwa Man city alichonifanyia USD 318
Nipe option ya kutokuwepo red card ktk meridian
Under 1.5 ina maana gani
Yaaani mimi New Castle kaninyima Milioni Tano hivi hivi hivi hivi hivi hivi.
Daaah jamani why why why why. Kwanini NeeCastle yaani dakika ya mwisho unashindwa paki basi?
Dah wsws sitakuweka kwenye bet yangu kamwe pamoja na Man U na Man City. Mmenivuruga yaani milioni tano mmeiacha kabisa. Bora mmevumilia tu hadi game iishe mkiwa washindi ningewapa hata zawadi ya kununua jezi yenu original.
Dah imeniuma sana, imeniuma saaaaaaana.
Yaani kweli kweli wenzako wote wanashinda wewe tuuu tena dakika ya mwisho kabisa
dah, huu mkeka unauma!! ila mbona unawalaumu Man City tu....zilaumu timu zote coz umeweka total over 1.5! ila ulijitahidi kinyama!! umeweka gem nyingi sana na karibu zote umepatia...na ww jiite sheikh rahim baharia ka jamaa yetu yule shehe appoh
Mkuu hiyo timu iogope kama ebola.
Mi nauguza tu leo
Daah zote zimetick nimekosa goli moja tu kwenye game ya mancity
Mkuu unatumia kampuni gani hiyo?Mkeka wangu wa kesho huu hapa