Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kubabeki...mi sa hivi nimeweka hakuta kua na red card kwny gem za
celta vigo
bilbao
A. Madrid....niweka kama 27000 nasubiri 66000...Mungu nsaidie

hiyo option nzuri kichizi tafuta mechi zako hata ishirini tupia mwekundu.
 
Daah mkuu mie nimeumia sana japo niliweka 1000 tu ila huyu NewCastle kanikosesha maana alibakia yeye, swansea,qpr,southmpton, sasa hao wote wameshinda isipokuwa yeye tu. Yaani imeniuma sana

Pole sna mkuu, kwan hzo market zilikuaje mpk buku ilete 5 mil?? Na ni kampun gan
 
Daah mkuu mie nimeumia sana japo niliweka 1000 tu ila huyu NewCastle kanikosesha maana alibakia yeye, swansea,qpr,southmpton, sasa hao wote wameshinda isipokuwa yeye tu. Yaani imeniuma sana

pole sana mkuu Andybird, yani ni sawa na kunyang'anywa tonge mdomoni
 
Dah... Chelsea huenda wakanitoa kimasomaso
 
Attachments

  • 1409418315592.jpg
    1409418315592.jpg
    70.4 KB · Views: 93
At least nimeambulia kidogo, sasa nauweka mzigo woote kwa mechi ya usiku
 
Pole sna mkuu, kwan hzo market zilikuaje mpk buku ilete 5 mil?? Na ni kampun gan

Mkuu mie leo nilienda meridian vibandani nikachagua timu nikaweka na kina qpr,newcastle,chelsea,swansea,southmpton,man u nikaweka under 1.5 na timu zingine kibao odds zikafika 9500 nikaweka 1000 ikaja 5 mil. Bahati nzuri timu zote zikakubali except huyo mshenzi Newcastle.
Qpr,southampton,chelsea,swansea walikuwa ma odds kubwa kubwa 2+
 
Under 1.5 ina maana gani
 
hahaha andybird314 umenichekesha sana leo, ebu muone na huyu ng'ombe anaitwa Man city alichonifanyia USD 318

dah, huu mkeka unauma!! ila mbona unawalaumu Man City tu....zilaumu timu zote coz umeweka total over 1.5! ila ulijitahidi kinyama!! umeweka gem nyingi sana na karibu zote umepatia...na ww jiite sheikh rahim baharia ka jamaa yetu yule shehe appoh
 
Last edited by a moderator:
Nipe option ya kutokuwepo red card ktk meridian

nimecheki ni baadhi ya gemu.....cheki kwenye EPL, La Liga, Italy na France(some games) labda cheki nanligi zingne...mi ndo izo nimepata.....hii ipo kwenye ligi kubwa kubwa!! kuna sehem wameandia Red Card...unaweka no! ila odds si kubwa saaaana......zina range frm 1.10-1.40....ujanja weka gem nyingi...na dau liloshiba kidg...risk sio kubwa saaana
 
Yaaani mimi New Castle kaninyima Milioni Tano hivi hivi hivi hivi hivi hivi.
Daaah jamani why why why why. Kwanini NeeCastle yaani dakika ya mwisho unashindwa paki basi?
Dah wsws sitakuweka kwenye bet yangu kamwe pamoja na Man U na Man City. Mmenivuruga yaani milioni tano mmeiacha kabisa. Bora mmevumilia tu hadi game iishe mkiwa washindi ningewapa hata zawadi ya kununua jezi yenu original.
Dah imeniuma sana, imeniuma saaaaaaana.
Yaani kweli kweli wenzako wote wanashinda wewe tuuu tena dakika ya mwisho kabisa

Ahaha pole mkuu.. Kesho ilikua unaamka na passo asee
 
dah, huu mkeka unauma!! ila mbona unawalaumu Man City tu....zilaumu timu zote coz umeweka total over 1.5! ila ulijitahidi kinyama!! umeweka gem nyingi sana na karibu zote umepatia...na ww jiite sheikh rahim baharia ka jamaa yetu yule shehe appoh

Mkuu hiyo timu iogope kama ebola.
Mi nauguza tu leo

Daah zote zimetick nimekosa goli moja tu kwenye game ya mancity
 
Attachments

  • 1409428328936.jpg
    1409428328936.jpg
    57.9 KB · Views: 76
Back
Top Bottom