Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tren liko poa kabisa mzee
Samarianboy ulilidandia? Naona wakamalia wengi humu hawakuliona Leo au walikuwa bize na Mambo mengine.

Ok sio issue tukifika tunapokwenda nitaleta jingine kesho.

Stay tuned wakamalia [emoji123][emoji123][emoji898][emoji483]
 
Mkuu safari yoyote ile siku ukiona umefika salama ujue niko pembeni yako tumefika wote [emoji28][emoji1320][emoji736]
 
Betpawa ukiweka ooption yoyote iki tick tu mkeka unawekwa tick ila hawa ndugu zetu wa sportybet wana ferisha mambo .adi match iishe
Sportybet washalewa sifa, nafikria kuachana nao nirudi betpawa. Huu upuuzi wa kusubiri mpaka mechi iishe hata kama option niliyochagua imeshatick siwezi.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…