Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo inamaanisha ukubali kuwa timu zote mbili zita tie- zitadraw, yaani zitalingana idadi ya vikapu baada ya quata ya mwisho.....ama hapana...

Kwenye kikapu ni nadra timu kutoka suluhu,

Ila sikushauri utumie hii option kuokoteza odds 0.5,06,

Timu kubwa huwa zinacheza kimkakati na draw zipo sana tu...

Unaweza kulia maana Najua lengo ni kustake high eti kwamba ni safe odds....

Nakushauri ikwepe kabisa hiyo option utakuja nikumbuka lately!
 
Nimekuelewa sana mkuu JITU BANDIA ubarikiwe 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…