Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja leo mnitoe ushamba wakamalia…. Betpawa nashindwa kuedit kabisa nikichukua code humu,,, naomba melekezo
Hakuna kazi ngumu kama ku-edit betpawa hasa liwe train la timu nyingi maana betpawa ukifungua page wakati unashusha mkeka ukirudi kuchagua timu nyingine inaanza mwanzo.


Anyway kama timu ni chache ziandike pembeni na ligi / nchi husika alafu unakwenda kule unazitafuta kwa nchi alafu una-edit. Kama ni direct (normal) yaani WIN DRAW WIN ni simple tu, ukishaicopy code unakwenda kwenye "income game" unakua una scroli unakuwa unaziona zikiwa na zimepigwa tick ya kijani.
 
Ngoja leo mnitoe ushamba wakamalia…. Betpawa nashindwa kuedit kabisa nikichukua code humu,,, naomba melekezo
Lipia sh 1 then nenda kwenye mkeka wako uliolipia click timu unayotaka kuedit ukimaliza lipia sh 1, baada ya hapo rebet mkeka wa kwanza uchanganye na ullioedit then weka stake yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…