Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

💥💥 ingawa somehow madrid kanikosesha hela betpawa.....

Akaja kunipa hela mapema sportybet Kwenye Code ya KIMKAKATI! niliyoituma humu mchana.......

Na code niliyoiwekea stake kubwa kuliko zote...it means NILIKUA na imani nayo!....

Kazi imeisha wazee...Tunasubiria maua yetu TOKA KWA cashier mkuu SPORTYBET 💥💥
 

Attachments

  • Screenshot_20230425-221918.png
    20.4 KB · Views: 31
  • Screenshot_20230425-222620.png
    21.4 KB · Views: 23
  • Screenshot_20230425-222558.png
    20.5 KB · Views: 23
  • Screenshot_20230425-222541.png
    21.9 KB · Views: 33
Nimegundua watu wengi huwa hatusomi humuuu. Kunamtu alikuja akaelezea hal ya kikosi cha real cha leo.
Baadhi wakamdhihaki dhihaki likaisha kama kunamtu alimwekea baada ya mwamba kutoa hal ya kikosi itakuwa kayataka mwenyewe
Nilisema afu kuna mtu akanijibu kuwa kikosi kitachezwa na watu 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…