Mkuu kweli watu mmevurugwa ! Code mixer na SRL! Duh! Hahaha.. umetisha!...leo nataka kutembea na code za humu kipindi hiki niko nafanya upembuzi yakinifu wa mechi za leo!1509E19... Sportybet
Ha ha ha ha nasubir keka, nashukuru kwa code ya basket ball ya jana, imenipa mtaji wa kuanza nao leoMkuu kweli watu mmevurugwa ! Code mixer na SRL! Duh! Hahaha.. umetisha!...leo nataka kutembea na code za humu kipindi hiki niko nafanya upembuzi yakinifu wa mechi za leo!
Mechi ya City ntaikwepa kama ukoma!...
Nna sababu zangu yakinifu kabisa za kuiacha! Mechi ziko nyingi tu
Stay tuned! Be patient hommieHa ha ha ha nasubir keka, nashukuru kwa code ya basket ball ya jana, imenipa mtaji wa kuanza nao leo
Weka nyumba hapo
ACB28DC betpawa
Maafisa ubashiri= wazee wa kubetNaona siku hizi mnaitana MAAFISA UBASHIRI[emoji2]
Ndio mkuu Kama Kuna maafisa usafirishaji na maafisa ubashiri wapo pia hii imekaa kitaalamu zaidi[emoji1787][emoji1787]Naona siku hizi mnaitana MAAFISA UBASHIRI[emoji2]
nakubali mzee wa liver😀😀Ndio mkuu Kama Kuna maafisa usafirishaji na maafisa ubashiri wapo pia hii imekaa kitaalamu zaidi[emoji1787][emoji1787]