Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kaka hii code nilikopo na imechana mpk sasa mechi moja ila wewe una kitu mzee...nimekubali sana yani mpk zile za gori 3 zimet0a yani amekuja chana mseng mseng both team to score....
kimechi kimoja kimechana sekunde ya mwisho kabisa ya mchezo.

Hatuchoki kujaribu, kesho nakuja na chuma kingine cha odds mlima, nataka tukimpiga kanji tunampiga kweli mpaka afunge kampuni arudi kwao kulima pilipili.
 
Iv jaman kampun gan inaruhusu kuweka zaid ya 1m? Maana naona sportpesa mwisho laki 5
Niliacha kubet ila now nataka niwe najilipua kama hii game ya city niweke 5m iv najua city atashinda
MKuu unashida ganiii?
Uliaga sasa huku kuchungulia chungulia mn watafutaaa?

Kweli kamari ni hataeiii mtu umepgwa aroato🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…