Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

zurich kapata goli au bado nianze kilio?

brighton leo kachezea 3, aiseee huku mwishoni hizi ligi zinaleta maajabu......

anyway, magoli kina lilistrom wanachana, gg kina zurich hawaeleweki, kona man city hawafikishi hata 3 halftime.......

tubet kitu gani tena jamani?[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
 

Zurich kapigwa bilaa
 
Baada ya kutulia niliiedit hiyo code...nikaitoa hiyo gaborone, but imechana mother code kama 3 .....code mpya nilizoichomoamo still ziko live...sikumbuki kama niliileta edited code tena humu...ufinyu wa muda
Only 1 goal Kwa mechi ya Barca kufunga hesabu ya leo code πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯...code ya mwisho sicashout!
 

Attachments

  • Screenshot_20230426-234738.png
    23.2 KB · Views: 26
  • Screenshot_20230426-234802.png
    23.4 KB · Views: 28
  • Screenshot_20230426-234903.png
    22.6 KB · Views: 28
  • Screenshot_20230426-235028.png
    22 KB · Views: 27
  • Screenshot_20230426-235223.png
    21.4 KB · Views: 23
  • Screenshot_20230426-235245.png
    21.1 KB · Views: 32
  • Screenshot_20230426-235321.png
    20.6 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…