Simpleboylife
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 660
- 1,305
HONGERA SANA MTU WANGU. WE WON TOGETHEROnly 1 goal Kwa mechi ya Barca kufunga hesabu ya leo code π₯π₯π₯π₯π₯...code ya mwisho sicashout!
Naona yametimia 4:1Mkuu BTTS ipo. Nabashiri
CS to be City 4:1 Arsenal at FT.
Pamoja sana wanguHONGERA SANA MTU WANGU. WE WON TOGETHER
ImetoaHii kama pesa ila uoga sasaView attachment 2600826
Tayari mkuuBarcelona nipee maua yanguu! Only a single goal!
Tusubirie mkuuWakuu celta vigo lina patina gori moja kweli?
VIPIGO VIMENIFANYA NISIOGOPE OPTIONS.. Option yoyote ambayo by analysis naona inaweza toa matokeo ninayoyahitaji na roho ikanituma huwa naruka nayo bila kujali ODDS.simpleboylife_ inaitajika roho ngumu sana kufuata code zako ingawa zinatiki. Acha kwanza niendelee kujikuna kichwa
niliipuuza hii, nikadandia mtumbwi wa vibwengo
Hahahaaha;! Una maambo lakini kama kunaukweli fulani hivi.....mm niliigopa chelsea...si unakumbuka nilikwambia!?VIPIGO VIMENIFANYA NISIOGOPE OPTIONS.. Option yoyote ambayo by analysis naona inaweza toa matokeo ninayoyahitaji na roho ikanituma huwa naruka nayo bila kujali ODDS.
NB: Kama ulivyosema., Inahitajika Roho ngumu sana. Unaeza jikuta unapiga trip za kwenda Haja kila dakikaπΉ (jokes)
π°ππ ππ’π πππππ π πππ π’ππ πππ ππππππ ππ ππππ
Hapo lazima nikupe credit. Na baada ya mabadiliko nikaona kabisa mkeka unafaa kuwekewa High StakeHahahaaha;! Una maambo lakini kama kunaukweli fulani hivi.....mm niliigopa chelsea...si unakumbuka nilikwambia!?
Goma la kimkakati kama lile la jana 3.5 oddsChap Chupa linaamka na chai....au sio!?...
AEE9EB5 , DDBFE6Dπ STAKE LOW!