Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo naiona shughuli imeanza mapemaaa, code yako iko vizuri...

Kazi nzuri...,


ntaedit mida yaa saa5 ntaitoa HIYO timu ya bosnia, zelejnica ni timu mzuri nina mkosi nayo mimi

nilishaiomba over 0.5 full time, ishanichania mara 3! Sitaki hata kuiskia,

ntapunguza kama timu 6 hivi ama 7 nilizo na doubt nazo then ntashea code
 
Toka 2021 nimekaa bila kubeti mwezi huu nikaona nirudi kundini Asee kipigo nilicho kutananacho sio kawaida. Pengine bahati yangu haipo huku nimeamua kutundika daluga. Kanji amekuwa mkatili.
Pole mzee, ukipata nguvu karibu tena. Mara hii angalia sana code unazochukua utazimia .
 
Chap Chupa linaamka na chai....au sio!?...
AEE9EB5 , DDBFE6DπŸ€ STAKE LOW!
Chupa limeamka na chai au sio!? Code 1 Boooom πŸ’₯πŸ€,


Code ya pili odds 6.5...ya players assists... Lebron kaniangusha asissst Moja tu... Kazidiwa hata na julias randle!? Na Mnyama wa assist na rebounds.... bam adebayo
 

Attachments

  • StitchIt_20232704083058_400.png
    32.8 KB · Views: 17
  • StitchIt_20232704084319_314.png
    26.7 KB · Views: 22
Chupa limeamka na chai au sio!? Code 1 Boooom πŸ’₯πŸ€,


Code ya pili odds 6.5...ya players assists... Lebron kaniangusha asissst Moja tu... Kazidiwa hata na julias randle!? Na Mnyama wa assist na rebounds.... bam adebayo
Nakubali em weka hata sure odds
 
Nakubali em weka hata sure odds
There's no sure odds believe me...tunacheza na probability na kuujua mchezo ....kujua timu Gani inahitaji matokeo Gani, kwa kwa wakati upi... Na lazima iyapate! Afe referee namba1, au no 2...do or die trying....

Kuna mechi Moja ya playoffs majuzi...sikumbuki ilikua mechi Gani... Kwenye Nba πŸ€ playoffs... Bookmarker iwe ama alijichanganya !? Ama alidhamiria kucheza na saikolojia ya majority of bettors...kwenye πŸ€ Best of 7, timu A ilikuwa nyuma kea 3-0 then timu B ambayo inaonekana kama underdog...KWA kufungwa 3-0 na hii mechi 4 iko away .. ikapewa Odds9!... That's crazy! Men.... Coz hii mechi KWA vyovyote walipaswa washinde do or die....nikapanda nayo mazima KWA handcap +7 stake ya kushiba,stake iliyonona! Nikiwa na uhakika kavisa...odds 5.....

Na code ya pili nikampa win kavu.... straight win.....na ilishinda...
 
Asante. Nmepata ya kuwekea treni.maisha banaaaa
Hongera sana mkuu. Mie sikuwa na mtaji wowote, but niliangalia kwa uzoefu tu kwamba City kwa hatua hii huwa hakuachi, na tishio kubwa kwa ubingwa wa city ilikuwa ni mechi yao na Arsenal. Kwa hiyo alikuwa anaingia kucheza bila mzaha wa aina yoyote ile na niliwaza kuwa ili awe safe ni lazima apige O3.5 kwa sababu na Arsenal nao uwezo wa kupiga O1.5 wanao pia kwa timu kubwa kama City. Huo ndio ulikuwa msingi wa ubashiri wangu, ingawa kwa kutimia kwake siwezi kujiita punter, ila bahati imechangia.🫑🫑🫑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…