Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Austria/Hungury - Both teams to score N [emoji106]

Portugal/Iceland - Total goals 2.5 Over (Loading ...) [emoji1][emoji1]

Kama ni kipindi cha uchaguzi basi ningesema "Kura hazikutosha" [emoji13][emoji13][emoji13], lilihitajika goli moja zaidi.

Bet Lost !!!

Portugal watajilaumu kwa kupoteza nafasi nyingi sana hasa kipindi cha kwanza.
 
Total attempts :

Portugal 27 - 4 Iceland, halafu game inaisha draw ( 1-1 ) ... kweli mpira unadunda.
 
Weeeee..thubutu uone, izo zilikuwa mechi za ufunguzi tu, wao wenyewe wanajua kabisa kwamba saiz mnajipanga kuanza na iyo option..hehehe

Hahaha, sure maana kuna tumu zimepoteza kwenye mechi za round ya kwanza. Kwa hiyo mtifuano wa kutafuta points za kufuzu rounds zijazo utakuwa mkali zaidi. Kwa hiyo tutegemee kukaziana au kufungana na kadi za kutosha.
 
Mkuu kumbe na wewe Ni mdau wa hockey?? Ile kitu haina stress. Nami nimepumzika naingojea hockey tu ndugu zangu wakina Philadelphia..... Dallas.......
Mi navuruga kote mdau...kikapu ,soka ,hockey ,masumbwi ,baseball.... American football kotkote....ila naona upepo umekata sina upepo kwenye soka na kikapu kipindi hichi.... Acha niskuti nikusanue upepo
 
Hapo kasoro masumbwi tu ndio bado sijawahi. Baseball kama hockey tu MLB....Mexico na Japan. Pia kuna siasa ila sasa huu msimu mgumu. Soka halieleweki.....
 
Mi navuruga kote mdau...kikapu ,soka ,hockey ,masumbwi ,baseball.... American football kotkote....ila naona upepo umekata sina upepo kwenye soka na kikapu kipindi hichi.... Acha niskuti nikusanue upepo

Hahahahah ... umetisha Mtoto wa Nzi, mi ni football tu na Basketball (mara chache chache). Hiyo michezo mingine sijui sheria zake zipoje.
 
  • Wednesday 15. June 16:00
    Tobol Kostanai vs Astana
    Match Result Full Time
    Bet: 2
    Odds: 1.50
  • Wednesday 15. June 14:35
    Jiangsu Shuntian vs Guangzhou R&F FC
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.61
  • Wednesday 15. June 13:00
    Jeonnam Dragons vs Ulsan
    Match Result Full Time
    Bet: 2
    Odds: 2.32
---------------------------------------------------
Total Odds = 5.6
 
Hapa naigilizia,hahahhah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…