Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UTARATIBU WA KU-BET

Kama una 1,000 bet yako izidi 200 kwa accumulator
2,000 - 500
5,000 - 1,000
10,000- 2,000
50,000 - 5,000
100,000- 10,000
500,000- 50,000
1,000,000 - 100,000
 
Hivi hawa wachovu Southampton waliwezaje kumfunga arsenal goli tatu[emoji38]
Huwa wanakamia timu kubwa
Halaf mimi nina bahati nao mbaya
Niliwakataa kwa Arsenal, chelsea, na Man utd wakaniharibia, na nikiwafata huwa wanizingua pia...walipigwa na vibonde Grimsby kwenye FA dah nilichoka kabisa.
 
Hahahahahahah daah mi nataka kon 10 tu nipige 400k
Newcastle nailed it.,!

Ila kuna watu mnachezea sana hela aisee!

Hao wachezaji wametumwa magoli humo uwanjani...hawajatumwa kutafuta Corner mkuu ...Get serious into this business hommie!.

Tayari cocktail code 🏀⚽ yangu ya (Kimkakati) ishaboom boom💥💥.. Dribbler Ppftower hommie!
 
Attachments

  • Screenshot_20230427-233642.png
    Screenshot_20230427-233642.png
    21.3 KB · Views: 22
  • Screenshot_20230427-233658.png
    Screenshot_20230427-233658.png
    18.5 KB · Views: 20
Wapendwa nataka kampun ambayo ntakuwa nacheza timu moja tu ila natia mzg wa maana
Kuna mtu kanambia parimatch nimeichukua uongo mtupu ina limit ya pesa ya kubet
 
Newcastle nailed it.,!

Ila kuna watu mnachezea sana hela aisee!

Hao wachezaji wametumwa magoli humo uwanjani...hawajatumwa kutafuta Corner mkuu ...Get serious on this business hommie!.

Tayari cocktail code [emoji459][emoji460] yangu ya (Kimkakati) ishaboom boom[emoji95][emoji95].. Dribbler Ppftower hommie!
mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,

game ya fiorentina, hii ya utd, ya newcastle, ya bournamount, astonvila ni safe kuomba kona over 8.5 kwa sababu wanatoa.......

haya leo soton wametoa over 9.5 kona, ila goli ni under 1.5!
 
Kweli kabisa, kwenye kona mimi naiaminia Newcastle united iwe home au away inatoa sana over za kona.
 
Back
Top Bottom