JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Nimekuelewa chief, ila corner option siwezi stake high...mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,
game ya fiorentina, hii ya utd, ya newcastle, ya bournamount, astonvila ni safe kuomba kona over 8.5 kwa sababu wanatoa.......
haya leo soton wametoa over 9.5 kona, ila goli ni under 1.5!
Leo naona fiorentina kachana watu wanaobet kwa mazoea,
hiyo game fiorentina alihitaji sare tu..mechi za hivyo Huwa sizibetii