Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,

game ya fiorentina, hii ya utd, ya newcastle, ya bournamount, astonvila ni safe kuomba kona over 8.5 kwa sababu wanatoa.......

haya leo soton wametoa over 9.5 kona, ila goli ni under 1.5!
Hata mm nimewin leo kwa kona
 
Huyu ni wa kumpuuza, aliingia jukwaani kwa kuinjoi watu...

hata slip za milioni alizokuwa analeta eti amekula niligundua ni za kwenye magroup yao ya watsapp....

Huwezi stake 1million!....halafu usijue over 0.5 inamaanisha nini!? Hata wewe inakuingia akilini kweli mkuu! Nilimpuuza kitambo!

Hope nimekusaidia kukuelewesha dm upunguze kujudge watu [emoji120]
 
Hivi naomba kuuliza wadau, kuna mkeka wa treni umewahi kula uliowekwa humu?
Binafsi tangu nimeanza kuufuatilia huu uzi sijawahi kuona train inatoka Dar hadi kigoma kabla haijapata ajari na nimekuwa nikijitaidi sana kuunga tera(trail) kwenye tren nyingi tu,kama ukikaa ukasubiri train ligote mwisho wa reli utaumia kila siku,haya matreni ni ya kuvizia tu limepunguza mwendo ukashuka(cashout) hata tabora tu kikubwa umesogezwa
 
mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,

game ya fiorentina, hii ya utd, ya newcastle, ya bournamount, astonvila ni safe kuomba kona over 8.5 kwa sababu wanatoa.......

haya leo soton wametoa over 9.5 kona, ila goli ni under 1.5!
Hakuna option kwenye kubet boss bahati tuu
 
Sijue nitoe tu yaishe
Screenshot_20230428-065404.jpg
 
Huwa wanakamia timu kubwa
Halaf mimi nina bahati nao mbaya
Niliwakataa kwa Arsenal, chelsea, na Man utd wakaniharibia, na nikiwafata huwa wanizingua pia...walipigwa na vibonde Grimsby kwenye FA dah nilichoka kabisa.

Duh
 
Hivi naomba kuuliza wadau, kuna mkeka wa treni umewahi kula uliowekwa humu?
mbona hata wiki mbili hazijaisha watu walipiga odds 441 shida ni stake tu mtu kaweka 100 kapata 63k,alietia buku kapata mzigo wa maana mpaka tukashaurian hapa watu waache kustake mia mia lengo treni likifika salama kanji apigwe kweli kweli
 
Back
Top Bottom