Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Binafsi tangu nimeanza kuufuatilia huu uzi sijawahi kuona train inatoka Dar hadi kigoma kabla haijapata ajari na nimekuwa nikijitaidi sana kuunga tera(trail) kwenye tren nyingi tu,kama ukikaa ukasubiri train ligote mwisho wa reli utaumia kila siku,haya matreni ni ya kuvizia tu limepunguza mwendo ukashuka(cashout) hata tabora tu kikubwa umesogezwa

Safi
 
Hapana, Najaribu ku withdraw hela kwa wakala wangu wa siku zote inagoma inaniambia natakiwa kutoa kwa wakala huyo afu sina mawasiliano nae.
 
Binafsi tangu nimeanza kuufuatilia huu uzi sijawahi kuona train inatoka Dar hadi kigoma kabla haijapata ajari na nimekuwa nikijitaidi sana kuunga tera(trail) kwenye tren nyingi tu,kama ukikaa ukasubiri train ligote mwisho wa reli utaumia kila siku,haya matreni ni ya kuvizia tu limepunguza mwendo ukashuka(cashout) hata tabora tu kikubwa umesogezwa
Odds 441 mkuu hazitoshi?
 
I'm giving you 48 vetted,analyzed!....odds... Don't call me a wizard! Ukibahatisha, ✅ but ntazichuja tena... to 10 odds, nakuchuja tena hadi odds 5💪 to stake maini and figo!.

6CEC1DE 48 odds sporty..

Kama SPORTYBET wasipozi-block hizi game sijui...!? Maana sio kwa kwenda huku deep into statistics...na kucheza akili ya bookmarker who's trying to fool the majority of bettors
 
Ooops! ...I thought these would happen before... They've blocked 3 games already...but go for it...Ruka nazo hivyo hivyo....
6CEC1DE 48 odds.
 
Attachments

  • Screenshot_20230428-091825.png
    Screenshot_20230428-091825.png
    22.8 KB · Views: 21
I'm giving you 48 vetted,analyzed!....odds... Don't call me a wizard! Ukibahatisha, [emoji736] but ntazichuja tena... to 10 odds, nakuchuja tena hadi odds 5[emoji123] to stake maini and figo!.

6CEC1DE 48 odds sporty..

Kama SPORTYBET wasipozi-block hizi game sijui...!? Maana sio kwa kwenda huku deep into statistics...na kucheza akili ya bookmarker who's trying to fool the majority of bettors
Wame block baadhi ya game
 
I'm giving you 48 vetted,analyzed!....odds... Don't call me a wizard! Ukibahatisha, ✅ but ntazichuja tena... to 10 odds, nakuchuja tena hadi odds 5💪 to stake maini and figo!.

6CEC1DE 48 odds sporty..

Kama SPORTYBET wasipozi-block hizi game sijui...!? Maana sio kwa kwenda huku deep into statistics...na kucheza akili ya bookmarker who's trying to fool the majority of bettors
Game tano wamezisuspend kwenye code hii mkuu
 
Back
Top Bottom