stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Jamani nomba msaada kwa mwenye Namba ya simu ya Wakala wa 1Xbet mwenye address [emoji117]Pos Bagamoyo Msata Box.11969,Anitumie namba yake
Kuna wakat utahisi una mikosi lakin hapana, wakati haujafika, shikilia usiachilie.KumamammamamMmMmyeeee
NAMKOSIIIII GANI SITENGENEZI TENA MKEKA NAWASUBIRI NYIE WAKAMARIA MM NAMIKOSI SANA
Huwa wanakamia timu kubwaHivi hawa wachovu Southampton waliwezaje kumfunga arsenal goli tatu[emoji38]
Hahahahahahah daah mi nataka kon 10 tu nipige 400kNewcastle nipee maua yanguu! Only a single goal!
kona tyr zipo 11......Hahahahahahah daah mi nataka kon 10 tu nipige 400k
sijaelewa hapaUTARATIBU WA KU-BET
Kama una 1,000 bet yako izidi 200 kwa accumulator
2,000 - 500
5,000 - 1,000
10,000- 2,000
50,000 - 5,000
100,000- 10,000
500,000- 50,000
1,000,000 - 100,000
Newcastle nailed it.,!Hahahahahahah daah mi nataka kon 10 tu nipige 400k
Code ya kona imetoa, hongera Kwa walioifuata.58A92FD Betpawa, corner over ngoja tujaribu tuone
MeridianbetWapendwa nataka kampun ambayo ntakuwa nacheza timu moja tu ila natia mzg wa maana
Kuna mtu kanambia parimatch nimeichukua uongo mtupu ina limit ya pesa ya kubet
mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,Newcastle nailed it.,!
Ila kuna watu mnachezea sana hela aisee!
Hao wachezaji wametumwa magoli humo uwanjani...hawajatumwa kutafuta Corner mkuu ...Get serious on this business hommie!.
Tayari cocktail code [emoji459][emoji460] yangu ya (Kimkakati) ishaboom boom[emoji95][emoji95].. Dribbler Ppftower hommie!
Kweli kabisa, kwenye kona mimi naiaminia Newcastle united iwe home au away inatoa sana over za kona.mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,
game ya fiorentina, hii ya utd, ya newcastle, ya bournamount, astonvila ni safe kuomba kona over 8.5 kwa sababu wanatoa.......
haya leo soton wametoa over 9.5 kona, ila goli ni under 1.5!