Hahaaaahaaaaa ..... Mdau soka mechi zinakuwaga myeusi sana sometym hata umulikaje hazionyeshi.....Hahahahah ... umetisha Mtoto wa Nzi, mi ni football tu na Basketball (mara chache chache). Hiyo michezo mingine sijui sheria zake zipoje.
unajua siku ya kufa nyani lazima afe tu.. matokeo ya chile na mwenzake panama kufungana kama wendawazimu walio sikia copa america inasitishwa kesho.. mtu siku unawapa 2-6 lakini unajiuliza hiv watafikish goli mbili kwel, wanafikisha kwa shida sana lakini siku nyingne uwape 2-5 wanavuka bila tabu ***** zao kama jana wanafungan 4 kwa 2.. wanafikir magoli ni dili sana hawa mbwa

Odd ya 5.6Seoul i1-2
Jeju GG&3+
Jeonbuk i1-2
Osaka 2-6
Game ndo zinaanzaSeoul i1-2
Jeju GG&3+
Jeonbuk i1-2
Osaka 2-6
ngumu kwamba wale unaoinvest mtaji mkubwa kwao ndio wanazingua mfanogame sio ngumu sn kama inavyofikirik.. basi tu huwa hatuna discipline ya mchezo.. na kingine kikubwa investment kwny game bado ni shida kwa wengi wetu (wengne baada ya kupukutuliwa vilivyo na mindevu).. na woga pia ni adui wa bet (japo unasaidia)
Unamaanishi nini?nyoosha maelezomnahangaika wakati mbet ipo ya kanjiba mihela kibaoooooo saiz voda tigo airtel wote unapiga tuuuu hamna haja ya kuhangaika na dakika mbili za kubonyeza button kuendana na kasi ya voda NAJUA NYOTE HAPO MNASMART andka tu mbet tanzania ktk google kila kitu pale
Pole sana kiongozunajua siku ya kufa nyani lazima afe tu.. matokeo ya chile na mwenzake panama kufungana kama wendawazimu walio sikia copa america inasitishwa kesho.. mtu siku unawapa 2-6 lakini unajiuliza hiv watafikish goli mbili kwel, wanafikisha kwa shida sana lakini siku nyingne uwape 2-5 wanavuka bila tabu ***** zao kama jana wanafungan 4 kwa 2.. wanafikir magoli ni dili sana hawa mbwa
Seoul [emoji106]Seoul i1-2
Jeju GG&3+
Jeonbuk i1-2
Osaka 2-6