Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hiyo option nzuri kichizi tafuta mechi zako hata ishirini tupia mwekundu.

66000 zangu hizo!! hii nzuri kwa kweli nilikua kwenye majaribio kwanza,...sahivi card mwanzo mwisho, na mimi nimezoea iyo ya over 1.5 sema nimeanza kupoteza ubora, ila we upo frsh iyo U/O...uwe unashare hapa, niwe nachanganya.....kwenye hii ya kumchagua winner, niloshaacha tangu May, leo nimeijaribu tena lakini wapi!
 
hiyo option nzuri kichizi tafuta mechi zako hata ishirini tupia mwekundu.

66, 000 zangu hizoo!! hii nzuri kwa kweli nilikua kwenye majaribio kwanza,...sahivi card mwanzo mwisho, na mimi nimezoea iyo ya over 1.5 sema nimeanza kupoteza ubora, ila we upo frsh iyo U/O...uwe unashare hapa, niwe nachanganya.....kwenye hii ya kumchagua winner, niloshaacha tangu May, leo nimeijaribu tena lakini wapi!
 
Kwa mara ya kwanza nimepata 434,000 in a single bet. Nimerudisha zote nilizowahi bet pamoja na faida mara dufu.
 
Daah zote zimetick nimekosa goli moja tu kwenye game ya mancity

Pole sana mkuu, mie nimejifunza kuweka mikeka mingi sana mwisho mitano ambayo kila mmoja ni 1000 tu. Jana 1000 imenipa 434000 leo baada ya Newcastle kuharibu ule mkeka wa 5000,000
Ngoja nikaangalie naipa timu gani leo
 
Yeah baaada ya kulia weee asubuhi nimepata 434,000
Asante Atletico,Chelsea,Kuban,DKyv,Toulouse,Roma,Besktas,lorinent az alkmaaar,bilbao.

Hongera mkuu, mie ntakufa na single bet au max 3 teams only,
N:B usitumie mtaji wote,no matter what linda mtaji
 
Hongera mkuu, mie ntakufa na single bet au max 3 teams only,
N:B usitumie mtaji wote,no matter what linda mtaji

Asante mkuu.
Mimi leo sijaangalia account zangu nimepitia mkeka wa karatasi.
Leo naweka minne ya buku buku tu. Tuone itakuwaje

Leo ni hivi Barca,madrid, arsenal,totternham, parma, napoli,inter,milan,hull,bodeux
 
Mh hapo kwa spur na Liverpool utata kidogo
 
Asante mkuu.
Mimi leo sijaangalia account zangu nimepitia mkeka wa karatasi.
Leo naweka minne ya buku buku tu. Tuone itakuwaje

Leo ni hivi Barca,madrid, arsenal,totternham, parma, napoli,inter,milan,hull,bodeux

Milan hapo haaminiki kbs
 
Betting gani kuna option ya red card.? Meridian naona hakuna hiyo option.

Pia wenye mikeka ya over na under waitandaze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…