Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Weka hata laki. 6CB2552 betpawa... nilichelewa kutuma kuna mbili zpo zinacheza odds 3.42
 
Umapata point ngapi weekend hii
sijajua kiongozi kwasababu nilirudiarudia kuweka prediction ya pawa6 zaidi ya mara 2 japo nakumbuka kabisa game ya lens v marseille (2-1) na w.bremen v bayern (1-2) nimetusua prediction....kwa game nyingine sikumbuki exactly magoli nilichezaje...kwahiyo so far nauhakika na points 10........by the way nimara yangu ya pili kucheza pawa6 nanimehamasika baada ya last round kushinda buku 5
 
Results zimeshawekwa nenda kaangalie
 
Mkuu hauna tofauti na Mimi.. sportpesa ndio kampuni ilinipa pesa nyingi sana kipindi naitumia.. tangu nimewasaliti nimekuwa nachezea vichapo sio vya nchi hii. Saahz nimekuwa mdangaji tu wa makampuni, Leo kwa meridian, kesho sportybet, kesho kutwa betway, mara betika ... Huko kote ni vifinyo tu hadi namkumbuka Ex wangu SPORTPESA

I hope nitamrudia maana Dunia imenifunza kuwa tamaa sio nzuri. Nilipata Kila kitu kwa sportpesa lakini nikataka vingi zaidi vya nje nikamsaliti. Naapa kutulia nikirudi kwake..

DEAR SPORTPESA...
 
Mie nimeambulia 11. Kwani umeshika nafasi ya ngapi? hata mia hupati maana mshindi wa 1001 mpaka 5,000 analamba buku kila moja, na mie nina pointi 11 nipo juu yako nimeshika nafasi 12181 mbali kabisa ya top 5000 (hatuambui kitu hapa)
Nipo nafasi sijui ya elfu ishirini na ngapi huko🤣
Ile iliyopita ndio nililamba buku
 
Hiyo ni ngumu mzee mpaka urenew laini au ufungue account mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…