Maheshiyaq
Member
- Apr 5, 2023
- 73
- 73
Yaani goal lifungwe kwa juu ngum Sana test uoneHighest scoring half
2nd half
Real madrid fc vs. Manchester city fc
Odd 2.15
Vipi hapo wajomba ??
Anataka kusepa na Kijiji huyu wuhang Three townTunasubiria
WUHAN THREEEEE TOWNS
Yaani huyu tunambetia kwa kukariri msimu uliopita,alikuwa moto mbayaAnataka kusepa na Kijiji huyu wuhang Three town
Upo sahihi mkamaria.. Just unaweka match itoe na Over 1.5 then weka mpunga halafu unaenda kulalaSometimes kuliwa kuripuka
REAL MADRID vs MAN CITY
Hii Naiona MAN CITY over 1.5( jana odds zilikuwa nzuriii leo wamestuka wameshusha)
OPTIONS: 98% winning probability
Ila kuondia stresses
- Hii Mechi overall 1.5 ipo waàaaazi mnooo
- First Half over 0.5
Mbwembwe nyingine ni Wakamaria na tamaa zetu
Kuna siku uliandika kuhusu kuacha betting,not easy broo ata sisi tulitaman kuacha ila imeshindikana now tunaishi nayo tu.Betting for lifeNaweka 1m kwa game ya leo man city na madrid nimechagua gg utatoa 1.5
ALipumzika na tunajua hiloKuna siku uliandika kuhusu kuacha betting,not easy broo ata sisi tulitaman kuacha ila imeshindikana now tunaishi nayo tu.Betting for life
Upo sahihi mkamaria.. Just unaweka match itoe na Over 1.5 then weka mpunga halafu unaenda kulala
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hivi bado kuna watu bado mnaibetia wuhan msimu huu!? Poleni na huyo kirusi wa Corona....sare yenyewe kaibahatisha jioooni!Tunasubiria
WUHAN THREEEEE TOWNS
Wuhan ni mbwa sana mkuu. Kidogo ashindwe kutoa over 1.5Hivi bado kuna watu bado mnaibetia wuhan msimu huu!? Poleni na huyo kirusi wa Corona....sare yenyewe kaibahatisha jioooni!
iko vzr sahivi?SPORTPESA ina Cashout siku hiziii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sihamiii tena walahiii
Si watoto lakini hao mkuu...Awa Charlton u21 naona wanaleta mambo yakitoto sasa
Si watoto lakini hao mkuu...