hii option inanivutia na ninahisi nitarejea meridian kama wao ndio wanayo[4/4]
0029 16-06 16:00:00 England-Wales
Substitute to Score No 1.25
0030 16-06 19:00:00 Ukraine-N. Ireland
Substitute to Score No 1.25
0031 16-06 22:00:00 Germany-Poland
Total Shots on Goal[10.5] Over 1.80
0203 17-06 04:30:00 USA-Ecuador
Red card No 1.33
------------------------------------------
Total: 300000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.74
Max payout: 1122187.50
Combination count: 1
------------------------------------------
Hivi MKEKA BET umerudi waungwana???? Maana kwangu siuoni???? Bado wanasema wako kweny uboreshaji??[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Hii option ni ngumu uwezo wa predict kipindi kipi kitakuwa na magoli huwezi kufananisha na kusema kutakuwa magoli 1,2,3 kwasababu magoli hufungwa sekunde yeyote ile ya mchezo..alafu haina tabia mfululizo ambayo hutusaidia kupredict...sasa ukicheza hivyo itakuwa pure bahati nasibu kama kupredict correct scoreHalf With More Goals 1>
Hii option wadau nayo nzur sana inatoa af ina odd kubwa sema haitaji papala na kwa nilivyotaft cku kazaa iz timu za ligi ya Russia,Brazil B na Japan znatoa sana tulifanyie kazi na hili kma hamtopuuzia
Mi natumia uc mini iko mkeka iko hewanKwa wale wa mkekabet ukitumia chrome inazingua jaribu kutumia browser nyingine
Ulibet kama mimiDu! Hii biashara ni nzur hla sasa naona kuna hatar ya kutoa magonjwa ya moyo maana skutegemea km game la ukrain lingepatkana gol la pili wakat wengine mnabana mm sasa nmeyaachia kidogo nipasuke msamba ,du! Tufanye sana mazoez lasivo pressure ni njenje ,sasa nimebak na ujeruman akipigwa tu imekula kwangu.
Okay get you mkuuHii option ni ngumu uwezo wa predict kipindi kipi kitakuwa na magoli huwezi kufananisha na kusema kutakuwa magoli 1,2,3 kwasababu magoli hufungwa sekunde yeyote ile ya mchezo..alafu haina tabia mfululizo ambayo hutusaidia kupredict...sasa ukicheza hivyo itakuwa pure bahati nasibu kama kupredict correct score