DOUBLE_CHANCE
Member
- Oct 30, 2013
- 80
- 109
Haka ka ancon nlishawah kapa dable chance picha linaanza first half kamekula tatu ,hii ligi inamaajab sanUS ancona vs lucchese FT HOME
Picerno vs potenza FT HOME
Total odds 4.2
Mtanishukuru baadae.
Leo uhakikaHaka ka ancon nlishawah kapa dable chance picha linaanza first half kamekula tatu ,hii ligi inamaajab san
Hatuachi ng'ooBado mnabet tu?
Naam na leo Kanji yupo kati, tumemzunguka anajaribu kutafutaBado mnabet tu?
Mbili tayariHii game ya ludogoret kuna goli mbili kweli
Au ndo mtumbi wa vibwengo
Mimi Leo MIZIMU YA KINYAMWEZI INANIAMBIA LEO NI MVUA YA OVER 2.5...!Leo kuna trend ya game nyingi HT 0-0
Tujaribu kupunguza kuwa local saana......mambo ya kanji ni wayback huko...Kanji n kausha damu
Ludo kashahara hapa😭