Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuna mtu humu tupo group moja la whatsup la betting la e sport na hajui hilo jana alikuwa ananiponda mimi wakala wa kanji
nakujibu hivi
View attachment 2618698
Huu ni upuuzi mwingine.
In fact atajiona alikuwa sahihi. Maana unazowawekea watu zinachana Kila siku na ulizocheza mwenyewe bila ku Shea zikawini. So si ndio ataona alitamka sahihi kuwa wewe ni wakala wa kupoteza watu?.
 
Wakuu game ya sydney vs melbourne ngapi ngapi?

Niliweka over 2.5 goals naona mkeka umetiki lakini matokeo naona bado ni 1-1

Au ndo wamejichanganya leo 😂
 
Oi vip wajumbe nnataka nimpe DC singida bangida bambiniooo fc win or draw vip hapa ???
 
Wajuzi em pitieni hapa mnisahihishe kabla sijatia mzigo.
91A9A72
BETPAWA.
 
wakuu nimeanza kubonyeza bonyeza 😂 virtual betpawa.. tujaribu huez jua .. nimeacha mambo ya real bet maana kila siku ni kipigo.. heri tujaribu bahat huku
kila league select draw mbili ,
 
Wakuu game ya sydney vs melbourne ngapi ngapi?

Niliweka over 2.5 goals naona mkeka umetiki lakini matokeo naona bado ni 1-1

Au ndo wamejichanganya leo 😂
1-1 mkuu
Withdraw fastaaa kabla hawajashtuka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…