Ngumu sana hiyo kitu mkuu utaliwa hadi uchanganyikiwewakuu nimeanza kubonyeza bonyeza 😂 virtual betpawa.. tujaribu huez jua .. nimeacha mambo ya real bet maana kila siku ni kipigo.. heri tujaribu bahat huku
kila league select draw mbili ,
View attachment 2619178View attachment 2619181
duh!Kuna watu wana nyota kali sanaView attachment 2618751
siwez stake kubwa.. hapa tunatest bahati , sio kwamba ndio naitegemeaNgumu sana hiyo kitu mkuu utaliwa hadi uchanganyikiwe
hat kwenye real bet mambo yale yale , bora iliwe hii stake ya 1 , ila nikija kuoteaNgumu sana hiyo kitu mkuu utaliwa hadi uchanganyikiwe
Ngoja nikupe mbinu ambayo lazima ule kila unavyocheza virtual Ila sharti iwe ni timu moja tu na option ni over 1.5hat kwenye real bet mambo yale yale , bora iliwe hii stake ya 1 , ila nikija kuotea
Mkuu tushare wote utajiri..tuma Codes.kuna mtu humu tupo group moja la whatsup la betting la e sport na hajui hilo jana alikuwa ananiponda mimi wakala wa kanji
nakujibu hivi
View attachment 2618698
Hii hata Mie nilijua karamu ya migoli