The king9999
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 382
- 939
WTF😹😹😹
uharibifu wa odds😂
uharibifu wa oddd[emoji23]
DuuhKuna mkeka niliuweka nikajifikiriaa wee nikacashout nikanunua bundle.Game zote zimetiki hapa najitukana tu.Odds 47.
Oooaaaa,,, hii chuma yako nimeweka imetoa vzur sana sema nimeweka 300 imeleta afu tano mtaji wa kesho[emoji1491][emoji1491]
Leo napatwa na hisia kuwa Mamelod anashinda na kapewa odd mlima,ngoja nizifate hisia
Pamoja mkuuOooaaaa,,, hii chuma yako nimeweka imetoa vzur sana sema nimeweka 300 imeleta afu tano mtaji wa kesho[emoji1491][emoji1491]
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Oya wakamaria mmeona hii
[emoji3][emoji3] niwe inspired tu.Bei gani ww ya nini[emoji16][emoji16][emoji16]
Jichanganye uwe makini uone anavyokubutua
Jichanganye uwe makini uone anavyokubutua
Mda Bado mkuu vuta subraHuyu sporting lisbon atafunga huyu?
Kapata goliHuyu sporting lisbon atafunga huyu?
Uwe una share code mzeeSgr inapumuaView attachment 2620714