It pain to the bone.Niliwahi weka mkeka 50k inaleta kama 770k nilicheza live, timu zote zikatoa akabaki mchawi mmoja nilimuomba goli Moja tu timu ya nyumbani, mpaka dakika ya 89 kapigwa 0-4 afu timu niliyoomba goli dakika za 80 akapigwa red mbili, Cha ajabu dakika ya 89 kanji bado anatoa cashout ya 43,000, nikaivuta fasta nikasema hii napiga ata bia, yaani ile imeingia tu sijatoka hata online mechi ika shake nikajua dakika ya 90 mpira ndo unaisha, mjinga akapiga goli, aisee kitendo Cha dakika Moja niliumia sana aisee... Nikasema sitakaa nicashout tena,
Siku Hio Hio nikaweka laki nikawapa wakubwa wote washinde normal tu, mechi zinaanza Muda mmoja odds kama 6 ivi inakuja laki 6 na maokoto, mpaka half time cashout laki 5 wote wanaongoza nikasema ya Nini na nilishaapa sita cashout tena, huweza amini Kuna mjinga full time alipigwa 3-1 na underdog!!!
Kanji Hana formula
ahsante sana mkuu
Kuna process wakati unasajir akaunti aukuikamilisha aujaupload id zako ndio manaParimatch kwanini ukishinda wanagoma kutoa hela au kuna process ya kufuata?
Betpawa code. 5035774
Mechi 54 nimepunguza
Machaguo ni. over 0.5 , over 1.5 , under 5.5 , under 4.5 , no clean sheet ,
Nimetumia. Prediction sites za ;
1. www.statschecker.com
2. Footballpredictions.net
Comment on +/- please
tule hela jumapili hii ,
NB ukiweka 500 inakuja laki 3 na pointView attachment 2620913
Nadhan inatoa goli 3.Mechi ya man city leo itatoa goli 3?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] hili tren ilikuwa bado kituo kimoja lifike Kigoma.. dah! Pole Sana Kaka.AC Milano[emoji43][emoji94]
91524AENimejaribu kutuliza fuvu langu leo.
Ngoja tuone.
Betpawa
CA87EFE
Odds 63
Pesa hiiBetpawa code. 5035774
Mechi 54 nimepunguza
Machaguo ni. over 0.5 , over 1.5 , under 5.5 , under 4.5 , no clean sheet ,
Nimetumia. Prediction sites za ;
1. www.statschecker.com
2. Footballpredictions.net
Comment on +/- please
tule hela jumapili hii ,
NB ukiweka 500 inakuja laki 3 na pointView attachment 2620913
Umerudi mkuu91524AE
Odds 99.76
91524AE
Betpawa
Mkuu fanya +/- afuu uni ambie wapi mzee niweke edit yakoPesa hii