Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa kweli kanji hana formula.

Kuna siku nimestake 400k kushinda 1.3m, kufika HT kanji kanipa offer ya 850k cash out nikakaza fuvu kuwa siwezi kucashout.

Guess what, maumivu.!
 
Mkuu kwa jinsi mawazo yangu yalivyo ningeweka kwa wakina leeds mechi nzima over 1.5, harafu chelsea hapo nikawatoa, Wakina Man u ningewapa 1x, Yanga ipo sawa, Waydad mechi nzima 4.5 under, ila siku huwa hazifanani😁
Chui wakijani vipi hapo umeicheck hii👆 sema kwa new castle ulikuwa sawa
 
Wakuu habari za leo, mwenye code ya direct win mechi za leo betpawa ya uhakika angalau naomba atume humu nijaribu bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…