Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Napoli akipigwa goli la 3 basi mjue ndugu yenu nitakua na hali mbaya sana

RIP Le Mutuz
 
Referee amamua kusimamisha game ya Ajax na fc groningen baada ya milio ya bunduki/bastola kusikika mara mbili uwanjani wakati mchezo ukiendelea...
Haijajulikana bado mchezo utapangwa lini tena...ama leo usiku...

Official Afc Ajax Website....
 

Attachments

  • Screenshot_20230514-172638.png
    Screenshot_20230514-172638.png
    94.5 KB · Views: 35
Back
Top Bottom