Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Vipigo vimeniandama bora ni cash out Valladolid simuelewi
Screenshot_2023-05-14-20-16-05-55_9542a51f7e8841d824b089b56eb7e222.jpg
 
Na alaaniwe alieweka kitufe cha cashout!.......timu 3 za mwisho!....dakika 3!...goli 4! Malmo, Arsenal, Leipzig....What a come back!...

Ufinyu wa stake na kutokuwa na uhakika wa stake!...kutaendelea kutuumiza kumchangia sana bookmarker...

45 odds vanished away in 3 minutes! Wuuuh!....
 

Attachments

  • Screenshot_20230514-203715.png
    Screenshot_20230514-203715.png
    14.8 KB · Views: 19
Back
Top Bottom