Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu ushauri tafadhali porto amekufa kimoja kipindi cha kwanza vp nicash out nipate kamtaji kakesho au atarudisha majeshi ushauri tafadhal

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Don't ever! Dare ....anarudisha huyo....

am still waiting for them....ndio timu ya mwisho na cashout iko wazi nimekataa!..... Maana nilicashout hivihivi masaa kama matatu yaliyopita....

Nikapoteza laki 2 code 2...nimejilaumu mno....ndio nikaamua kusuka bomu la atomic muda huohuo ...kabaki yy tu
 
Ngoja tukaze moyo uwoga wetu ndio umaskini wetu[emoji1491]

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • StitchIt_20231405114929_589.png
    StitchIt_20231405114929_589.png
    25.6 KB · Views: 19
  • StitchIt_20231405115232_697.png
    StitchIt_20231405115232_697.png
    28.7 KB · Views: 22
Don't ever! Dare ....anarudisha huyo....

am still waiting for them....ndio timu ya mwisho na cashout iko wazi nimekataa!..... Maana nilicashout hivihivi masaa kama matatu yaliyopita....

Nikapoteza laki 2 code 2...nimejilaumu mno....ndio nikaamua kusuka bomu la atomic muda huohuo ...kabaki yy tu
Karudisha
 
Aswaaaaaa ngoja tukaze moyo

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Mimi nimeumaliza mwendo salama shee wangu...nikutakie heri na fanaka... naamini 90++💯 Porto wins this match.....kuwa na imani....

Naandaa code ya kikapu🏀 Nikisubiri mechi iishe nilipwe nistek....
 
Attachments

  • StitchIt_20231505120615_348.png
    StitchIt_20231505120615_348.png
    26.1 KB · Views: 23
Back
Top Bottom