Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee siku kanji nikimpiga TRENI,hili Jengo la Simba nageuza Shamba juu

Screenshot_20230514-210040.png
 
AZAM vs NAMUNGO siwadai
Huko mbele mtajuana wenyewe

Sevilla mwisho wa league nakujua moto wako

Mtonyo:- live bet ya 4th goal Mechi ya AZAM vs NAMUNGO,au mpe AZAM over 1.5

Screenshot_20230514-212904.png
 
🖕🖕....Usiwe unapenda kucheka Cheka kwenye post za watu kama malaya fulani hivi!
Sijafikiria kama unaweza kumtusi mtu humu kwa kiwango hicho.

Huu sio ustaarabu wa this group.

Ustaarabu na heshma ya kila Mdau humu inabebwa na Image ya comments za mtu.

Sijaona baya alifanya kucheka kwenye post yangu,maana was a funny picture just to entertain group members.

But tumekuelewa.

Na killimbatzz Naomba usijubu kitu,be patient, tunaendelea kujuana ustaarabu wa mtu unaehisi anastahili heshima kumbe ana image tofauti kabisa
 
kanji sio mtu mzuri,
watu tumekula vipigo sumu zimejaa moyoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ningekua na ujasiri kama wako ingekua poa sana,
jana nili-peak game 11, zote zilikua na odds kuanzia 2 na zingine odds 4 (game 11 zilileta total odds 5600), zikachana timu 2,

leo nimejaribu, ac monza na brentford ndio wameshinda,......

anyway, singles kwa wenye mitaji zinalipa
 
Sijafikiria kama unaweza kumtusi mtu humu kwa kiwango hicho.

Huu sio ustaarabu wa this group.

Ustaarabu na heshma ya kila Mdau humu inabebwa na Image ya comments za mtu.

Sijaona baya alifanya kucheka kwenye post yangu,maana was a funny picture just to entertain group members.

But tumekuelewa.

Na killimbatzz Naomba usijubu kitu,be patient, tunaendelea kujuana ustaarabu wa mtu unaehisi anastahili heshima kumbe ana image tofauti kabisa
💪💪💪💪💪💪💪💪
 
Back
Top Bottom