Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportybet wajanja sana aisee....wanazuia kuiweka mechi ya Ajax kama refund all.....kukwepa Cashout kuwa wazi
 
Hii game ya Aseno wale waliompa direct win na wale wa over 1.5 mkazane na MAOMBI

La sivyo ni kujiandaa tu kisaikolojia

Naona ushindi wa Man City unawashusha sana molari hawa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…