Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mdau hii unakuwa safe kama Sub ni kaingia Beki au Kiungo.... Akiingia striker inabidi ubane kende kwa kiwango cha PhD.....

Hii option ni nzuri kwa team ambazo wachezaji wa akiba ni weak. Ila kwa team zenye vikosi vikubwa siyo ya kujaribuuu
 
najaribu kutengeneza odd 2 amaizing.
Slovakia v England BOTH TEAM TO SCORE 1ST HALF (NO) ODD 1.11
Russia v Wales 1-10 MINUTES X odd 1.12
Botafogo SP v Guaratingueta SP OVER 1.5 goals odd 1.16
Umeaa FC v IFK Luleaa OVER 1.5 GOALS ODD 1.17
Landskrona Bois v KSF Prespa Birlik OVER 1.5 GOALS ODD 1.23

Total oods 2.08
NB, mm nipo off hadi ijumaa. So kwa anayependa kujilipua aangalie kama itamfaa.
 
Niko naweka pesa pia inazingua nlidhani ni pekeangu.

Sio premier tu hadi mkeka naona inasumbua na hii ndo sms walonijibu
**************
Pole na samahani kwa Usumbufu kuna Tatizo kwenye Mitandao na pesa hazionekani, kwahiyo tunaomba uvumilivu wako tunafanyika kazi tatizo hili kwa sasa,

kwa msaada zaidi wasiliana na Huduma kwa wateja

0758606197


Asante

karibu Mkekabet
 
Meridian ninewapigia simu wanadai kuna shida ya mtandao tangu juzi ndo wako wanalishughulikia...
 
Tatizo ni system ya Mpesa haifanyi kazi ndio maana wameongelea third party ambao ni vodacom
 
mkuu
mkuu usiseme hvyo siku 3 kabla nimesheza hiyo option ya sab asifunge tena nimeweka mechi 2 tu kw odd ya 1.5 laki ili nipate elf 50 huwezi amini hazikutoa nikarudia tena haikutoa,bahati nasibu nibahati nasibu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…