Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa hivi mambo ya kuweka buku nile laki sitaki tena. Naweka kilo mechi moja tu yenye average odd ya 1.5 Mwisho 1.7.. Nakua nakula 50 had 70 per day.. Kwa wiki nina above 350.. Heri ya haya kuliko kila siku kuaribiwa na timu moja tu

Ila inabd uwe mvumilivuw
 
Sasa hivi mambo ya kuweka buku nile laki sitaki tena. Naweka kilo mechi moja tu yenye average odd ya 1.5 Mwisho 1.7.. Nakua nakula 50 had 70 per day.. Kwa wiki nina above 350.. Heri ya haya kuliko kila siku kuaribiwa na timu moja tu

Mkuu naona akili ishatulia sasa, the only way ni kuweka timu 1 mtaji mkubwa, ukishinda japo 20,000 faida unaidouble tena, jpili kama ya leo unaweza kutengeneza 300.000 kiulainiiiiii
 
Mkuu naona akili ishatulia sasa, the only way ni kuweka timu 1 mtaji mkubwa, ukishinda japo 20,000 faida unaidouble tena, jpili kama ya leo unaweza kutengeneza 300.000 kiulainiiiiii

Kweli kabisa mkuu.. Biashara nzuri ni fungu kubwa tu kwa timu moja ya uhakika..
 
umeme ulizingua aisee liver anakufa leo jamani
 
umeme ulizingua aisee liver anakufa leo jamani.baade nakuja na mkeka wa kununulia boxer
 
jifunzeni kuua majemedari kwa mfano man city jana ungelamba point kibao
 
Pole mkuu mie jana nimeumia sana timu moja kupoteza 5000000
Mkeka ulibakia mmoja na huo nimepata 434000 kwa buku tuuuuiu.

Af ufanye mpango uitumie kwa matumiz mengne mana we huchelew kuibetia yote upate bilion, haha
 
Mkuu naona akili ishatulia sasa, the only way ni kuweka timu 1 mtaji mkubwa, ukishinda japo 20,000 faida unaidouble tena, jpili kama ya leo unaweza kutengeneza 300.000 kiulainiiiiii

Kwan mechi moja inaruhusiwa? kampun gn
 
Msisahau ligi ya italy game nyingi huwa ni rafik wa 0-1,0-2 kwa lugha rahisi ni under 1.5
 
najaribu, naweka buku buku
PSG
Barcelona
Real Madrid
AC Milan
Inter Milan
Benfica
Udinese
Sparta
Arsenal

Both Teams to score
Tottenham v Liverpool
Groningen v Ajax
Notts County v Bristol City
Twente v Feyenoord
Charleroi v Mechelen

afu namalizia na red card market!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…