Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hungury ikipewa droo no bet imekaaje hyo maana ana ods saba 7
 
Daaah, hawa wajapani cheza magoli wakusoma. mm niliwapa Y hao. namsubiri urawa apate goli tu nimle muhindi.
ZAGLEBIE LUBIN ashatoa Y tayari.
jioni nawapa UTENIS UTENA Y naweka 50k
Kaka mm naamini Kanjibai huwa ni mchawi mm nilishakataa kucheza direct win, nashangaa nini kimenitokea leo. Jana nimemla Mhindi laki nane naona anazirudisha sasa
 
Kweli crazy
 
Chief, Hungury usiwachukulie poa aisee ... walimpiga Austria na wanaongoza kundi, pia anahitaji ushindi.
Nawaelewa vizuri sana hao, wanahitaji draw tu, double chance sawa lakini sio ushindi, Portugal anahitaji zaidi hiyo mechi na watacheza kufa na kupona.
 
Kaka mm naamini Kanjibai huwa ni mchawi mm nilishakataa kucheza direct win, nashangaa nini kimenitokea leo. Jana nimemla Mhindi laki nane naona anazirudisha sasa

muhindi hafai. dawa yake ukishinda toa hela zote fanyia mambo yako mengine alaf ikibaki 50 au mia ndio ujilipue. pole sana kaka. Nilichojifunza ukiwa unamtaji mkubwa nirahisi kuchukua option yakijinga kuliko ukiwa hauna hela nyingi.
 
hawa premier nao vp. nimeweka hela haijaingia kwenye a/c hadi mda huu. Msk zilina washatoa Y tayari. Daaah, ilikua 50,000 kwa 92800. argrrrrr...
 
Wakusoma full kicheko. bet won, kwa mbindeeee. Ila siku nyingine ucheze magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…