asnte urawa kama mlijua dau nililoweka kumfata wakusoma
Umetumia Voda au tigo!!!?? Mi mbona nimeweka kwa tigo fasta tu........hawa premier nao vp. nimeweka hela haijaingia kwenye a/c hadi mda huu. Msk zilina washatoa Y tayari. Daaah, ilikua 50,000 kwa 92800. argrrrrr...
Ukila Akyanani Nakupa Dada AnguCrazy betting ... kwa Jero (TZS500) naiskizia 900K, hahahahah ... wonders do happen !!!
----------------------------
- Wednesday 22. June 19:00
Iceland vs Austria
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 3.60- Wednesday 22. June 19:00
Hungary vs Portugal
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 10.10- Wednesday 22. June 22:00
Sweden vs Belgium
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 1.84- Thursday 23. June 01:30
Ponte Preta SP vs Cruzeiro MG
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 2.70- Thursday 23. June 03:45
Atletico Belo Horizonte MG vs Corinthians SP
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 3.70- Thursday 23. June 03:45
Fluminense RJ vs Santos SP
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 2.70
Total Odds = 1804.56
Pale unaipa mechi goli nyingi kipindi cha pili.... Umeshapita mechi NNE zimebaki mbili....afu katika hao wawili mmoja tayari ana goli 5 kipindi cha kwanza....ili nile inatakiwa zipatikane goli 6 kipindi cha pili..... Hapa hata kumuomba Mungu ni kumdhihaki....
Ukila Akyanani Nakupa Dada Angu
Hahaha, utakuwa unamzungumzia Muang Thong (Thailand) ... nmewapa 3+
Ukila Akyanani Nakupa Dada Angu
Buddy premier wamegoma kufunguka kwangu. Odds 2 kama unazo ndugu, nataka niweke 200K nipate faida 200 nimtumie dogo shule alafu mm niendelee na hii 200k kujilipua na michezo yetu yakimafiloso.
Urawa wameshakubali both team to score, kwa wale wazeee wa madau makubwa .... Hawa jamaa wanawafaaa.....mzigo wao wa leo
Bila shaka ni Muang Thing Utd mm nilimpa ashindePale unaipa mechi goli nyingi kipindi cha pili.... Umeshapita mechi NNE zimebaki mbili....afu katika hao wawili mmoja tayari ana goli 5 kipindi cha kwanza....ili nile inatakiwa zipatikane goli 6 kipindi cha pili..... Hapa hata kumuomba Mungu ni kumdhihaki....
Haaaaaaaa! Nimecheka sana aise Mimi Jana nimemtumia mama laki moja kutoka kwenye mtaji.Buddy premier wamegoma kufunguka kwangu. Odds 2 kama unazo ndugu, nataka niweke 200K nipate faida 200 nimtumie dogo shule alafu mm niendelee na hii 200k kujilipua na michezo yetu yakimafiloso.
Urawa wameshakubali both team to score, kwa wale wazeee wa madau makubwa .... Hawa jamaa wanawafaaa.....
Kipindi cha kwanza ziliingia goli 5 kipindi cha pili zimefika 3 dk ya 71 endelea kuomba goli nyingine tatu inawezekana kabisa. Kila la heriPale unaipa mechi goli nyingi kipindi cha pili.... Umeshapita mechi NNE zimebaki mbili....afu katika hao wawili mmoja tayari ana goli 5 kipindi cha kwanza....ili nile inatakiwa zipatikane goli 6 kipindi cha pili..... Hapa hata kumuomba Mungu ni kumdhihaki....
hahahahaahahaaaPale unaipa mechi goli nyingi kipindi cha pili.... Umeshapita mechi NNE zimebaki mbili....afu katika hao wawili mmoja tayari ana goli 5 kipindi cha kwanza....ili nile inatakiwa zipatikane goli 6 kipindi cha pili..... Hapa hata kumuomba Mungu ni kumdhihaki....
Aisee hii inakera sana kuna timu ya Japan niliwapa kipindi cha pili kiwe na magoli mengi,wakafugana 4-2 kipindi cha kwanza .Kipindi cha pili awakufungana.Pale unaipa mechi goli nyingi kipindi cha pili.... Umeshapita mechi NNE zimebaki mbili....afu katika hao wawili mmoja tayari ana goli 5 kipindi cha kwanza....ili nile inatakiwa zipatikane goli 6 kipindi cha pili..... Hapa hata kumuomba Mungu ni kumdhihaki....