Thanx buddy & kisu cha ngariba,sema tabu kumjua mchawi.
BET WONnorthcote city over 0.5 half time, weka 100k uamke na hela ya supu
odds 1.19
aisee budy odds 2 kwa leo.Hahaha ... hapo ni kazi kubwa sn aisee, kumjua mchawi. Hizi Club friendlies nyingi sn zinatoa 2+/3+ ... lkn napo kuna wachawi km kawa
Dah wa maskini hakika hazai..... Najua nimeamka na kamtaji lol..... Niliwapa NO BOTH TEAM TO SCORE afu criciuma katoa 1-1 peke yake ....
aisee budy odds 2 kwa leo.
... mkuu leo zipo nying hadi nachanganyikiwa.
Za mchana (saa 7) ni hizi hapa ....
--------------------------------------
- Saturday 25. June 13:00
Yokohama F Marinos vs FC Tokyo
Double Chance Full Time
Bet: 1X
Odds: 1.42- Saturday 25. June 13:00
Gamba Osaka vs Nagoya Grampus
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.65
Total Odds = 2.34
nafata tufe au tupge wote bob... mkuu leo zipo nying hadi nachanganyikiwa.
Za mchana (saa 7) ni hizi hapa ....
--------------------------------------
- Saturday 25. June 13:00
Yokohama F Marinos vs FC Tokyo
Double Chance Full Time
Bet: 1X
Odds: 1.42- Saturday 25. June 13:00
Gamba Osaka vs Nagoya Grampus
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.65
Total Odds = 2.34
Kweli aisee nilikua nacheza inplay imenigomea tokea saa 5 Kamil haifungukiDaah mkekabet inazingua, nafkiri iko congested hebu iachieni basi wana tutupie kwanza ... watu mko busy mnatupia muda wote!!!! khaaaaa
Kweli aisee nilikua nacheza inplay imenigomea tokea saa 5 Kamil haifunguki
Hahahaaa. Ngoja nihamie premier. Lakini tatizo lao wanapenda kushikilia mitaji ya watu game moja likiahirishwa.Wana wameiatamia ...
Hahahaaa. Ngoja nihamie premier. Lakini tatizo lao wanapenda kushikilia mitaji ya watu game moja likiahirishwa.
Utupie hapa bhasiNmeshindwa kbs kutupia mkeka ... ngoja nivute subira!