Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani ukifanya kiutani utani unapiga pesa lkn ukiamua wanakupitia.

Hapa nilikuwa namjaribu Kanji nikaweka stake ndogo laiti kama ningeweka kubwa sasa ningekua poa
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-26-14-21-02.png
    16.8 KB · Views: 31
Wajapani hawaelekagi hawa. Ngoja nitest hivi. Kumamoto GG 1.89 jef utd 3+) odd 2.03, gwangju-fc GG 1.82 total odds 6.98. Stake 20000 return after tax(RAT) 139,655/=
Bet won. Yan ukijaribu unamla, ukiweka stake ya 500k unaliwa.
 
Bado nipo kanisani wangu, lkn asbh niliacha nimejaribu
1.Jef 2+
2. Renofa 2+
3. FC Gifu 2+

Odd ilikuwa 2.4 nikaacha nimetupia 50k hebu niangalizieni matokeo
Bet WON.
Kuna kila namna ya kukutafuta kjna wng, haiwezekani kila mchkato unapata tu
 
Bet WON.
Kuna kila namna ya kukutafuta kjna wng, haiwezekani kila mchkato unapata tu
Wala usinitafute kijana mwenzangu. Bet ni kubahatisha lkn kwa nidhamu tu. Hata mm huwa napigwa sana tu. Kuna siku nilipigwa 2M per week
 
France vs r. Ireland first half corner over 4.5 odds1.75 imekaaje wadau kabla sijafungua pini ya bomu.
 
Reactions: pri
Hivi wadau kwenye ku login pin kwenye mkekabet naweka ipi mbona sielewi
 
Germany anapoteza kwa Slovakia....akipona sare. Mpe ushindi akuchanie
 
SK Rapid Vienna - Szombathelyi Haladas FC
SK Rapid Wien
1.48


RB Salzburg - Fc Universitatea Craiova
Over 2.5 goals
1.53

Total odds = 2.26.................................Hapa vipi nilipuke?
 
Hahahah ... hapa ndipo tunasemaga mpira unadunda, kuna mkeka nimeweka Under 1.5 hii mechi ya France vs Rep.Ireland, sasa you can imagine kazi niliyonayo na kuminya ... yani mpk dk 90 zinaisha ntakuwa nmetoka jasho la kutosha

 
Hahahah ... hapa ndipo tunasemaga mpira unadunda, kuna mkeka nimeweka Under 1.5 hii mechi ya France vs Rep.Ireland, sasa you can imagine kazi niliyonayo na kuminya ... yani mpk dk 90 zinaisha ntakuwa nmetoka jasho la kutosha

Ahaahaaaa na mm hapa nataka France ashinde kweli kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…