Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Something not right somewhere ... haiwezekani nikakosa hata single bet. Ngoja nipumzike kwnz kujitafakari ...

View attachment 362015
Pole sana kaka, mwenyewe hapa kimyakimya nimeshindwa hata kujizuia kucheka nlijua pekeangu, hii haiwezekani, some thing is wrong some where, kwa hasira sasa ngoja nijaribu hivi...
 
Derry city Over 1.5
Waterford Over 2.5
Belgium WIN

Odds 3.9

All The Best.
 
FT SKV Haahnlein 0:22 Darmstadt

Aisee hii timu ya bundersliga darmstadt n noma keshokutwa inacheza tena wadau
 
Pole sana kaka, mwenyewe hapa kimyakimya nimeshindwa hata kujizuia kucheka nlijua pekeangu, hii haiwezekani, some thing is wrong some where, kwa hasira sasa ngoja nijaribu hivi...


Pole sn mkuu, wameshachana ...
 
Acha kbs Chief, walichonifanya hao Estonia sina budi kuungana na Wa Kusoma ... imetosha aisee!

Kaka Mara nyingi nimejifunza kwangu kuwa ukiona mkeka wa kwanza umeliwa siku hiyo pumzika kabisa ndio falsafa yangu hiyo
 
daah, bet won. nilikua bize wadau nikasahau kutupia Y ya wales.
Vila Nova GO v Tupi MG Y odd 2.16
Stake, 100k
RAT 216K
Angalizo, wabrazil hawaeleweki ila mm nimzee wa kujitoa ufahamu. mambo ya kuchaniwa mkeka na odd ya 1.13 siyataki mm. Bora nichaniwe na Y yenye odd kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…