Hongera
Asante mkuuu......alafu goli 3 kipindi cha kwanza nayo inanukia nilitamani niiwekee mpunga ilikua na odd kubwa sana 5.60 nahisi itapatikana hapaHongera
Halftime 4-0Asante mkuuu......alafu goli 3 kipindi cha kwanza nayo inanukia nilitamani niiwekee mpunga ilikua na odd kubwa sana 5.60 nahisi itapatikana hapa
Asante mkuu. Hatukomi.duu pole
mkuu premierbet mikeka uliyoweka unaionea wapi kama unatumia simu?Ni kweli hawaonyeshi kama umelose au laah! Ila wanakuja kuonyesha matokeo ya mwisho, na ni hadi uiangalie ile tiketi, Utaona neno "Settled" kama wameiSettle wanasema YES...payout either No/Yes.
Amount after submission, nahic ukibofya pale "Estimated return" unaona hela na Unajipigia mahesabu mwenyewe ya kutoa...[emoji23][emoji23]
mkuu premierbet mikeka uliyoweka unaionea wapi kama unatumia simu?
Nenda kwenye my account... Bonyeza account overview.. Then utaona kwa kuchagua tarehe au bonyeza all betsMkuu, mimi Premier bet bado sijajiunga....Nipo Meridian na Mkeka bet.
So,Premier bet sijui chohote.
inabidi Mr Wise atusaidie.
mkuu premierbet mikeka uliyoweka unaionea wapi kama unatumia simu?
Pole sana, leo nayo siku.
Mchawi mmoja, bet lost
hahahaha! pole sana chiefThis game don not need angry.....hahaahaaaaaa tafsiri ya moja kwa moja...... Hatari sana sheikh